Nyumba ya biashara inauzwa kwa haraka. Ipo Tandale kwenye main road. Nje ina frame nne za biashara. Ina vyumba vitano vya kulala na ina wapangaji. Makusanyo kwa mwezi ni TZS laki sita na nusu. Kiwanja kina leseni ya makazi.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Send Email" kututumia email na tutakujibu.