Nyumba ya room mbili ambapo moja kati ya hivyo vyumba ni self contained. Ina jiko, sebule na dining room. Kiwanja kimeshawekewa mawe ya upimaji. Unaweza kuegesha gari ndogo nne. Mtaa huu ni mzuri sana na unafaa sana kwa biashara ya kupangisha. Ipo karibu na kituo cha daladala. Tafadhali wasiliana nasi kwa bei na maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.