• Business Starts Here!

TZS 300M - Eneo la biashara heka mbili na nusu linauzwa Madale


Eneo la biashara heka mbili na nusu linauzwa Madale Eneo la biashara heka mbili na nusu linauzwa Madale

Heka mbili na nusu zinauzwa Madale kutoka main road. Zipo mita mia mbili kutoka barabara kuu. Panafaa kwa ujenzi wa frame za biashara au apartments za kupangisha. Pamepimwa ila hati bado. Bei ni TZS 300 Million. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product