• Business Starts Here!

Vikuku vya dhahabu na chain za kiunoni


Vikuku vya dhahabu na chain za kiunoni Vikuku vya dhahabu na chain za kiunoni

Chezea MFS Shop wewe? Tunavyo vikuku murua vya dhahabu na silver pamoja na chain za kiunoni za dhahabu na silver. Njoo mwanadada ujipatie vya kujipendezesha afurahi. Iwapo una swali lolote tupigie simu na tutakujibu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" ili upate namba zetu.

Contact UsSend Email

  • City Mall
  • Bibi Titi Road/Morogoro Road
  • Mnazi Mmoja
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product