Tunayo collection kubwa ya fashion watches kwaajili ya wanawake. Karibu dukani kwetu uweze kujipatia saa za mkononi kutoka kwa designers mbalimbali. Zipo saa za English gold, silver pamoja na leather. Bei ni nafuu sana. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.