• Business Starts Here!

Mafunzo ya ufundi seremala


Mafunzo ya ufundi seremala Mafunzo ya ufundi seremala

Chuo cha St. Gabriel Technical Secondary School kinapenda kuutaarifu umma kwamba kinatoa mafunzo katika kozi mbalimbali za ufundi ikiwemo: 

KOZI YA UFUNDI SEREMALA

Entry qualifications: 
Kozi hii inamlenga mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne au zaidi. 

Muda wa kozi:
Hii ni kozi ya full time inayofuata mtaala wa VETA. Kozi hii ni ya miaka mitatu (3) ambapo mwanafunzi atapewa cheti cha kuhitimu atakapomaliza. Mwanafunzi atapata mafunzo kwa vitendo na nadharia ya ufundi seremala kutoka kwa waalimu wetu waliobobea. Masomo yatakayofundishwa ni kama ifuatavyo: 

 • Technical drawing
 • Engineering science
 • English and communication skills for engineering
 • Life skills
 • Basic computer applications
 • Entrepreneurship
 • Mathematics for engineering

Ada: 
 • TZS 1.4 Million kwa wanafunzi wa bweni
 • TZS 800,000 kwa wanafunzi wa kutwa

Muendelezo:
Mwanafunzi anapomaliza na kufaulu kozi hii atakuwa na uwezo wa kuomba nafasi ya kusomea ukufunzi/ualimu wa "Ufundi seremala na viunganishi" katika chuo chetu kilichopo Morogoro.
Upon successful completion, progressive students are eligible for application of the “Carpentry and Joinery instructor course” in Morogoro.

Kozi inaanza rasmi mwezi Januari hadi Disemba. Apply LEO usichelewe. Click kwenye kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu za simu.

Contact UsSend Email

 • Arusha Road
 • Veyula
 • Dodoma Mjini District
 • Dodoma


Share Product