• Business Starts Here!

TZS 50k - Mradi wa viwanja vilivyopimwa Mbezi Luis


Mradi wa viwanja vilivyopimwa Mbezi Luis Mradi wa viwanja vilivyopimwa Mbezi Luis Mradi wa viwanja vilivyopimwa Mbezi Luis

Mradi mpya wa viwanja huu hapa. Mradi upo Mbezi Luis baada ya Mount Meru petrol station. Viwanja vipo mita 300 toka barabara ya lami. Tayari vina mawe na mchoro. Bei ya kuanzia ni TZS 50,000 (elfu hamsini) kwa kila mita moja ya mraba. Kiwanja kidogo kabisa kinaanzia mita za mraba 600. Mteja anatakiwa kulipa kwa installment mbili. Karibuni nyote. Tafadhali wasiliana nasi kwa kutupigia simu au kutuma email. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product