• Business Starts Here!

Nyumba inauzwa Mbezi Makabe


Nyumba inauzwa Mbezi Makabe Nyumba inauzwa Mbezi Makabe Nyumba inauzwa Mbezi Makabe Nyumba inauzwa Mbezi Makabe Nyumba inauzwa Mbezi Makabe

Nyumba hii inauzwa. Ipo Mbezi Makabe, mtaa wa kanisa la RC Makabe. plot ina ukubwa wa mita za mraba 645. Nyumba ina hati za upimaji shirikishi. Ina vyumba vinne vikubwa ambapo kimoja ni master. Ina sebule, jiko, dinning na shared toilet. Mtaa ni wa watu wa kipato cha kati. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini ili upate namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product