• Business Starts Here!

TZS 160M - Nyumba inauzwa Mbezi Luis


Nyumba inauzwa Mbezi Luis Nyumba inauzwa Mbezi Luis Nyumba inauzwa Mbezi Luis Nyumba inauzwa Mbezi Luis Nyumba inauzwa Mbezi Luis Nyumba inauzwa Mbezi Luis Nyumba inauzwa Mbezi Luis Nyumba inauzwa Mbezi Luis Nyumba inauzwa Mbezi Luis

Nyumba hii inauzwa. Ipo Mbezi Luis njia ya kuelekea Goba kabla ya kituo cha "kwa Robert". Ipo mita 70 toka jiwe la Tanroad. Sifa za nyumba ni kama ifuatavyo:


 • Main house:
  • Rooms zipo tatu ambapo kimoja ni master (kubwa sana)
  • Kuna sebule kubwa, jiko, dinning na public toilets

 • Servant's quarter:
  • Ina vyumba viwili ambapo kimoja ni self contained
  • Sebule

 • Kuna parking ya ndaniK
 • na eneo la square meters 2,000 lenye hati miliki
 • Property ipo mitaa ya kishua sana

Karibu ikague nyumba. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini ili upate namba zetu.

Contact UsSend Email

 • Ubungo Terminal Road
 • Ubungo Mawasiliano
 • Ubungo District
 • Dar es Salaam


Share Product