• Business Starts Here!

USD 11 - Affordable serviced office space for rent


Affordable serviced office space for rent Affordable serviced office space for rent Affordable serviced office space for rent Affordable serviced office space for rent Affordable serviced office space for rent Affordable serviced office space for rent

Serviced office space is available for rent.

Floor size: 90sqm
Elevation: 5th floor, left wing
Rent: $11 inclusive of service charges & VAT

Jengo lina lift, parking, standby generator, gym, swimming pool, bar, public kitchen & toilet kila floor. Pia wapo bank ya BOA & EFC. Wapangaji wengine wakubwa ni Halotel, Empower & Seedspace. Jengo limechangamka sana na hata kama unastaff wasio na magari basi wanashuka kituoni hapo hapo na kupanda lift kuja kazini. Jioni unaingia gym au swimming pool au restaurant ya Inspire Centre. The good news ni kwamba palikuwa na tenant katika hii space na aliweka partition kabisa ya vyumba vitatu na space ya secretary na kitchen akajenga. Hivyo ukiingia mtakubaliana bei akuuzie. Amekubali kuuza kwa hasara. Jengo lipo Bagamoyo Road karibu na maghorofa mengine maarufu kama Tan House (Acacia), Abla Apartments, Copy Cat Building, Al-Dua Tower (Bayport), GT Bank House.

Tafadhali wasiliana nasi kuweka appointment ya kuiona. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" hapo chini kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Makumbusho Complex
  • Wakatibado Street
  • Makumbusho
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product