• Business Starts Here!

TZS 12k - MRADI WA VIWANJA IHUMWA, DODOMA


MRADI WA VIWANJA IHUMWA, DODOMA MRADI WA VIWANJA IHUMWA, DODOMA

MRADI WA VIWANJA IHUMWA - DODOMA

EstateLink inakulete Mradi Mpya wa Viwanja vya Makazi Ihumwa - Jijini Dodoma

Nunua Kiwanja Karibu na Mji wa Serikali Ihumwa kwa Cash Au kwa Mkopo katika mradi wetu ulioko Ihumwa - Dodoma. 
Lipia 40% ya bei ya kiwanja na 60% inayobaki unalipia kidogokidogo kwa miezi 12. 
Bei hizi zinajumuhisha gharama zote za kupata hati miliki ya kiwanja chako itakayotoka kwa jina lako mwenyewe.

Tunaendelea kuwaongezea thamani ya maisha kwa kuwalete vilivyo bora. Welcome All

EstateLink "We Bring Value To Life"

CONTACT US NOW. CLICK ON THE "PIGA SIMU" BUTTON TO GET OUR NUMBER.

Contact UsSend Email

  • Kuu Street
  • Uhindini
  • Dodoma Mjini District
  • Dodoma


Share Product