• Business Starts Here!

TZS 21M - Nunua gari kwa mkopo, 1997 Old model Toyota RAV4 L


Nunua gari kwa mkopo, 1997 Old model Toyota RAV4 L Nunua gari kwa mkopo, 1997 Old model Toyota RAV4 L Nunua gari kwa mkopo, 1997 Old model Toyota RAV4 L Nunua gari kwa mkopo, 1997 Old model Toyota RAV4 L

Tunauza gari hii kwa mkopo. 


Reference: 0139110
Make/Model: Toyota RAV4, SXA old model
Color: Silver
Engine: 2.0L - Petrol
Year: 1997
Transmission: Automatic, AWD
Features:
 • Rear spoiler
 • Alloy wheels
 • CD player
 • Air condition
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product