• Business Starts Here!

TZS 14M - Tunauza magari kwa mkopo, 2001 Nissan XTrail


Tunauza magari kwa mkopo, 2001 Nissan XTrail Tunauza magari kwa mkopo, 2001 Nissan XTrail Tunauza magari kwa mkopo, 2001 Nissan XTrail Tunauza magari kwa mkopo, 2001 Nissan XTrail

Tunauza gari hii kwa mkopo. 


Reference: 044634
Make/Model: Nissan X-Trail
Color: Black
Engine: 2.0L - Petrol
Year: 2001
Transmission: Automatic with 4WD
Features:
 • Tinted windows
 • Alloy wheels
 • Leather seats
 • CD player
 • Air condition
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product