• Business Starts Here!

TZS 11M - 2007 Toyota Passo, tunauza magari kwa mkopo


2007 Toyota Passo, tunauza magari kwa mkopo 2007 Toyota Passo, tunauza magari kwa mkopo 2007 Toyota Passo, tunauza magari kwa mkopo

Tunauza gari hii kwa mkopo. 


Reference: 0180259
Make/Model: Toyota Passo
Color: Blue
Engine: 1.0L - Petrol
Year: 2007
Transmission: Automatic 
Features:
 • Alloy wheels
 • Tinted windows
 • CD/DVD player
 • Air condition
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product