• Business Starts Here!

TZS 12M - Tunauza magari kwa mkopo, 2005 Toyota Sienta


Tunauza magari kwa mkopo, 2005 Toyota Sienta Tunauza magari kwa mkopo, 2005 Toyota Sienta Tunauza magari kwa mkopo, 2005 Toyota Sienta

Tunauza gari hii kwa mkopo. 


Reference: 0017519
Make/Model: Toyota Sienta
Color: Silver
Engine: 1.5L - Petrol
Year: 2005
Transmission: Automatic, AWD
Features:
 • Tinted windows
 • CD/DVD player
 • Air condition
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product