• Business Starts Here!

TZS 11.5M - Tunauza magari kwa mkopo, 2002 Toyota Funcargo


Tunauza magari kwa mkopo, 2002 Toyota Funcargo Tunauza magari kwa mkopo, 2002 Toyota Funcargo Tunauza magari kwa mkopo, 2002 Toyota Funcargo Tunauza magari kwa mkopo, 2002 Toyota Funcargo

Tunauza gari hii kwa mkopo. 


Reference: 0033936
Make/Model: Toyota Funcargo
Color: Black
Engine: 1.5L - Petrol
Year: 2002
Transmission: Automatic 
Features:
 • Tinted windows
 • Alloy wheels
 • CD player
 • Air condition
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product