• Business Starts Here!

TZS 19M - Gari inauzwa kwa mkopo, 1998 Toyota Harrier Four


Gari inauzwa kwa mkopo, 1998 Toyota Harrier Four Gari inauzwa kwa mkopo, 1998 Toyota Harrier Four Gari inauzwa kwa mkopo, 1998 Toyota Harrier Four Gari inauzwa kwa mkopo, 1998 Toyota Harrier Four Gari inauzwa kwa mkopo, 1998 Toyota Harrier Four

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 0004882
Make/Model: Toyota Harrier - Four
Color: White
Engine: 2.2L - Petrol
Year: 1998
Transmission: Automatic/Manual selection - AWD
Features:
 • Rear spoiler
 • Alloy wheels
 • CD player
 • Front and rear AC
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product