• Business Starts Here!

TZS 75M - Gari inauzwa kwa mkopo, Toyota Land Cruiser Prado


Gari inauzwa kwa mkopo, Toyota Land Cruiser Prado Gari inauzwa kwa mkopo, Toyota Land Cruiser Prado Gari inauzwa kwa mkopo, Toyota Land Cruiser Prado Gari inauzwa kwa mkopo, Toyota Land Cruiser Prado

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 0110160
Make/Model: Toyota Land Cruiser Prado, TX Limited
Color: Black
Engine: 3.0L - Diesel
Year: 2006
Transmission: Automatic with 4WD
Features:
 • Tinted windows
 • Alloy wheels
 • Sidesteps
 • 7+1 seats
 • CD player
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product