• Business Starts Here!

TZS 34M - Nunua gari kwa mkopo, 2007 Toyota Harrier 240G


Nunua gari kwa mkopo, 2007 Toyota Harrier 240G Nunua gari kwa mkopo, 2007 Toyota Harrier 240G Nunua gari kwa mkopo, 2007 Toyota Harrier 240G Nunua gari kwa mkopo, 2007 Toyota Harrier 240G Nunua gari kwa mkopo, 2007 Toyota Harrier 240G Nunua gari kwa mkopo, 2007 Toyota Harrier 240G

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 0018646
Make/Model: Toyota Harrier 240G
Color: Black
Engine: 2.4L - Petrol
Year: 2007
Transmission: Automatic/Manual selection (AWD)
Features:
 • Tinted windows
 • Rear spoiler
 • Crystal lights
 • Alloy wheels
 • CD player
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au "send email" na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product