• Business Starts Here!

TZS 13M - Tunauza gari kwa mkopo, 2008 Toyota Sienta


Tunauza gari kwa mkopo, 2008 Toyota Sienta Tunauza gari kwa mkopo, 2008 Toyota Sienta Tunauza gari kwa mkopo, 2008 Toyota Sienta Tunauza gari kwa mkopo, 2008 Toyota Sienta

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 5056155
Make/Model: Toyota Sienta
Color: White
Engine: 1.5L - Petrol
Year: 2008
Transmission: Automatic
Features:
 • Tinted windows
 • Rear power sliding doors
 • CD player
 • Alloy wheels
 • Air condition
 • Dual airbags

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product