• Business Starts Here!

TZS 12.5M - 1997 Toyota Carina 1.8 Si inauzwa kwa mkopo


1997 Toyota Carina 1.8 Si inauzwa kwa mkopo 1997 Toyota Carina 1.8 Si inauzwa kwa mkopo 1997 Toyota Carina 1.8 Si inauzwa kwa mkopo

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 1.8CarinaSi
Make/Model: Toyota Carina 1.8 Si
Color: White
Engine: 1.8L - Petrol
Year: 1997
Transmission: Automatic 
Features:
 • Tape player
 • Air condition
 • Dual airbags
Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product