Tunauza magari hii kwa mkopo.
Reference: 1005433
Make/Model: Toyota Altezza, GXE10
Color: Green
Engine: 2.0L - Petrol
Year: 2005
Transmission: Automatic
Features:
- Tinted windows
- Alloy wheels
- CD player
- Dual airbags
Maelezo:
- Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
- Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
- Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
- Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
- Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.