• Business Starts Here!

TZS 11.5M - Gari inauzwa kwa mkopo, 2009 Toyota Passo


Gari inauzwa kwa mkopo, 2009 Toyota Passo Gari inauzwa kwa mkopo, 2009 Toyota Passo Gari inauzwa kwa mkopo, 2009 Toyota Passo Gari inauzwa kwa mkopo, 2009 Toyota Passo

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 0299684
Make/Model: Toyota Passo
Color: Beige
Engine: 1.0L - Petrol
Year: 2009
Transmission: Automatic
Features:
 • Tinted windows
 • Alloy wheels
 • CD player with auxiliary jack
 • Air conditioning
 • Dual airbags
Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product