• Business Starts Here!

TZS 19M - Nunua gari kwa mkopo, 1995 Toyota Liteace Pickup


Nunua gari kwa mkopo, 1995 Toyota Liteace Pickup Nunua gari kwa mkopo, 1995 Toyota Liteace Pickup Nunua gari kwa mkopo, 1995 Toyota Liteace Pickup

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 0014129
Make/Model: Toyota Liteace
Color: White
Engine: 2.0L - Petrol
Year: 1995
Transmission: Manual with 4WD
Features:
 • High deck pickup
 • Air condition
 • 93,000 km mileage

Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.

Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product