• Business Starts Here!

TZS 11.5M - Gari inauzwa kwa mkopo, 2005 Toyota IST


Gari inauzwa kwa mkopo, 2005 Toyota IST Gari inauzwa kwa mkopo, 2005 Toyota IST Gari inauzwa kwa mkopo, 2005 Toyota IST

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 2005-IST
Make/Model: Toyota IST
Color: Blue
Engine: 1.3L - Petrol
Year: 2005
Transmission: Automatic 
Features:
 • Tinted windows
 • CD player
 • Dual airbags
Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product