• Business Starts Here!

TZS 23M - Nunua gari kwa mkopo, Toyota RAV4 J


Nunua gari kwa mkopo, Toyota RAV4 J Nunua gari kwa mkopo, Toyota RAV4 J Nunua gari kwa mkopo, Toyota RAV4 J Nunua gari kwa mkopo, Toyota RAV4 J

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: RAV4J
Make/Model: Toyota RAV4 J
Color: Silver
Engine: 2.0L - Petrol
Year: 2004
Transmission: Automatic 
Features:
 • Tinted windows
 • CD/DVD player
 • Dual airbags
Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product