• Business Starts Here!

TZS 32M - Nunua gari kwa mkopo, Toyota Harrier 240G


Nunua gari kwa mkopo, Toyota Harrier 240G Nunua gari kwa mkopo, Toyota Harrier 240G Nunua gari kwa mkopo, Toyota Harrier 240G Nunua gari kwa mkopo, Toyota Harrier 240G

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 0079725
Make/Model: Toyota Harrier 240G
Color: White
Engine: 2.4L - Petrol
Year: 2007
Transmission: Automatic 
Features:
 • Tinted windows
 • Rear spoiler
 • Crystal lights
 • Alloy wheels
 • Leather seats
 • Automatic/Manual transmission selection
 • Front and rear AC
 • CD player
Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product