• Business Starts Here!

TZS 56M - Tunauza gari kwa mkopo, Toyota Land Cruiser V8


Tunauza gari kwa mkopo, Toyota Land Cruiser V8 Tunauza gari kwa mkopo, Toyota Land Cruiser V8 Tunauza gari kwa mkopo, Toyota Land Cruiser V8 Tunauza gari kwa mkopo, Toyota Land Cruiser V8

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 0121532
Make/Model: Toyota Land Cruiser V8, Cygnus
Color: Beige
Engine: 4.7L - Petrol
Year: 2000
Transmission: Automatic with 4WD
Features:
 • Tinted windows
 • Rear spoiler
 • Towbar
 • Sidesteps
 • Alloy wheels
 • 7+1 leather seats
 • Ride height adjustment
 • CD player
 • Front and rear AC
 • Dual airbags
Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product