• Business Starts Here!

TZS 50M - Nunua gari kwa mkopo, Toyota Prado TZ


Nunua gari kwa mkopo, Toyota Prado TZ Nunua gari kwa mkopo, Toyota Prado TZ Nunua gari kwa mkopo, Toyota Prado TZ Nunua gari kwa mkopo, Toyota Prado TZ

Tunauza magari hii kwa mkopo. 


Reference: 0002171
Make/Model: Toyota Land Cruiser Prado TZ
Color: Green
Engine: 3.4L - Petrol
Year: 2002
Transmission: Automatic with 4WD
Features:
 • Leather seats
 • Ride height adjustment
 • CD player
 • Sidesteps
 • Tinted windows
 • Alloy wheels
Maelezo:
 • Mteja anatakiwa kutoa asilimia hamsini (50%) ya thamani ya gari kama kianzio (advance).
 • Mteja atatakiwa kulipa mkopo kidogo kidogo (kwa kiwango tunachokubaliana) kila mwezi (monthly payments).
 • Muda wa kurejesha mkopo wote unaanzia miezi sita (6) hadi kumi na mbili (12) kutegemea na thamani ya gari husika.
 • Mteja atatakiwa kukata bima ya comprehensive (comprehensive insurance cover) yenye thamani ya mkopo wote.
 • Kadi ya gari itabaki ofisini hadi mkopo wote utakaporejeshwa.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu au tutumie email na tutakujibu mapema iwezekanavyo.

Contact UsSend Email

 • Mwai Kibaki road
 • Mikocheni A
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam


Share Product