Changamkia plot ya barabarani.....inauzwa....ipo Goba Kulangwa takriban mita 50 toka jiwe la Tanroads. Ni kiwanja cha pili toka barabara ya lami. Kina ukubwa wa mita 1,000 kwa 20. Kimepimwa na tayari kina beacons. Bei ni TZS 25 Million, negotiable. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.