Jengo hili lipo Boko Ununio. Jengo linapakana na Mbweni. LIna eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 2,200. Jengo lina vyumba 22 ambapo vyote ni self contained pamoja na bwawa la kuogelea. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na usipitwe na fursa hii. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.