• Business Starts Here!

TZS 13M - Viwanja vinauzwa Goba Kisauke


Viwanja vinauzwa Goba Kisauke Viwanja vinauzwa Goba Kisauke

Viwanja tunauza Vipo Goba Kisauke. Kila kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 800. Umbali toka pale zinakogeuzia Bajaj za Goba njia ya kuelekea Mbopo ni  mita 900. Zenye tick zote zimeisha lipiwa. Tafadhali wasiliana nasi kabla fursa hii haijakupita. Bonyeza kitufe cha "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product