• Business Starts Here!

MCB Agriculture Insurance Package (Bima za mazao ya chakula na ufugaji)


MCB Agriculture Insurance Package (Bima za mazao ya chakula na ufugaji) MCB Agriculture Insurance Package (Bima za mazao ya chakula na ufugaji)

Kwanini Utumie Mwalimu Commercial bank Insurance?

 1. UAMINIFU 
  Mwalimu Commercial Bank PLC ni Benki iliyoasisiwa na chama cha walimu Tanzania(CWT).Na ukubwa wa Brand yetu unatokana na msingi wake mkubwa uliojengwa katika SHAUKU ya uchapakazi wa wafanyakazi (PASSION), Uaminifu (Integrity), mlengo wa kujali wateja Customer Focus), Kufanya kazi kwa ushirikiano (Teamwork) na Ubunifu (Innovation).

 2. TIMU BORA YA WATAALAMU WA KIBENKI 
  Tunao wafanyakazi walio na uzoefu wa muda mrefu katika bidhaa za kibenki na huduma za bima tunazozitoa na walio tayari kutoa suluhisho kwa wakati muafaka kwa wateja wetu.

Agriculture Insurance Package (Bima za mazao ya chakula na ufugaji)

 • Bima dhidi ya hatari/majanga ya kilimo (Perils Insurance)
 • Bima dhidi ya majanga mbalimbali ya kilimo (Multi-Perils Insurance)
 • Weather Index
Tafadhali wasiliana nasi leo kwa majadiliano na ushauri kutoka kwa wataalamu wetu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

 • Mlimani Tower
 • Sam Nujoma Road
 • Mlimani Area
 • Ubungo District
 • Dar es Salaam


Share Product