• Business Starts Here!

MCB Marine Insurance package


MCB Marine Insurance package MCB Marine Insurance package

Kwanini utumie Mwalimu Commercial bank Insurance?

 1. UAMINIFU
  Mwalimu Commercial Bank PLC ni Benki iliyoasisiwa na chama cha walimu Tanzania(CWT).Na ukubwa wa Brand yetu unatokana na msingi wake mkubwa uliojengwa katika SHAUKU ya uchapakazi wa wafanyakazi (PASSION), Uaminifu (Integrity), mlengo wa kujali wateja Customer Focus), Kufanya kazi kwa ushirikiano (Teamwork) na Ubunifu (Innovation).

 2. TIMU BORA YA WATAALAMU WA KIBENKI
  Tunao wafanyakazi walio na uzoefu wa muda mrefu katika bidhaa za kibenki na huduma za bima tunazozitoa na walio tayari kutoa suluhisho kwa wakati muafaka kwa wateja wetu.
Marine Insurance package:

 • Bima dhidi ya chombo cha usafiri yaani Meli yenyewe (Marine Hull)
 • Bima dhidi ya mzigo/shehena unaosafiri kwa njia ya maji (Marine Cargo)

Tafadhali wasiliana nasi leo kwa majadiliano na ushauri kutoka kwa wataalamu wetu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

 • Mlimani Tower
 • Sam Nujoma Road
 • Mlimani Area
 • Ubungo District
 • Dar es Salaam


Share Product