• Business Starts Here!

MCB Liability Insurance package


MCB Liability Insurance package MCB Liability Insurance package

Kwanini Utumie Mwalimu Commercial bank Insurance?

 1. UAMINIFU
  Mwalimu Commercial Bank PLC ni Benki iliyoasisiwa na chama cha walimu Tanzania(CWT).Na ukubwa wa Brand yetu unatokana na msingi wake mkubwa uliojengwa katika SHAUKU ya uchapakazi wa wafanyakazi (PASSION), Uaminifu (Integrity), mlengo wa kujali wateja Customer Focus), Kufanya kazi kwa ushirikiano (Teamwork) na Ubunifu (Innovation).

 2. TIMU BORA YA WATAALAMU WA KIBENKI
  Tunao wafanyakazi walio na uzoefu wa muda mrefu katika bidhaa za kibenki na huduma za bima tunazozitoa na walio tayari kutoa suluhisho kwa wakati muafaka kwa wateja wetu.
Liability Insurance package yetu inajumuisha:

 • Bima dhidi ya usalama wa raia dhidi ya madhara yanayoweza kutokea maeneo ya shughuli za kikazi (Public Liability).
 • Bima za wazalishaji na watengenezaji wa bidhaa mbalimbali dhidi ya madhara ya bidhaa wanazozalisha kwa mlaji (Product Liability)
 • Bima za waendeshaji wa shughuli za kitalii (Tour Operators Liability)
 • Bima za wakurugenzi wa kampuni dhidi ya madhara yatokanayo na maamuzi yao (Directors & Officers Liability)
 • Bima za wasafirishaji (Carriers Liability)
 • Professional Indemnity
Tafadhali wasiliana nasi leo kwa majadiliano na ushauri kutoka kwa wataalamu wetu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

 • Mlimani Tower
 • Sam Nujoma Road
 • Mlimani Area
 • Ubungo District
 • Dar es Salaam


Share Product