• Business Starts Here!

MCB Engineering insurance package


MCB Engineering insurance package MCB Engineering insurance package

Kwanini Utumie Mwalimu Commercial bank Insurance?

 1. UAMINIFU
  Mwalimu Commercial Bank PLC ni Benki iliyoasisiwa na chama cha walimu Tanzania(CWT).Na ukubwa wa Brand yetu unatokana na msingi wake mkubwa uliojengwa katika SHAUKU ya uchapakazi wa wafanyakazi (PASSION), Uaminifu (Integrity), mlengo wa kujali wateja Customer Focus), Kufanya kazi kwa ushirikiano (Teamwork) na Ubunifu (Innovation).

 2. TIMU BORA YA WATAALAMU WA KIBENKI
  Tunao wafanyakazi walio na uzoefu wa muda mrefu katika bidhaa za kibenki na huduma za bima tunazozitoa na walio tayari kutoa suluhisho kwa wakati muafaka kwa wateja wetu.
Engineering Insurance package inajumuisha:
 • Bima za majenzi mfano barabara, majengo na madaraja kwa wakandarasi (Contractors All Risk Cover)
 • Bima za mitambo na mashine (Machinery Breakdown)
 • Bima za vifaa vya umeme (Electronic Equipment)
 • Bima za usimamishaji wa majengo (Erection All Risk)

Tafadhali wasiliana nasi leo kwa majadiliano na ushauri. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

 • Mlimani Tower
 • Sam Nujoma Road
 • Mlimani Area
 • Ubungo District
 • Dar es Salaam


Share Product