Nyumba ya ghorofa mbili ipo Tegeta Ununio Mita chache kwenda baharini inapangishwa. Ina uwanja mkubwa na bustani ya matunda. Ina vyumba vinne ambapo vyote ni self contained. Ipo katika mazingira tulivu na yenye kuvutia. Ina vyumba viwili vya nje kwa ajili ya mfanyakazi.
Kodi ni TZS 1.5 kwa mwezi.
Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.