• Business Starts Here!

TZS 380M - 45 acres farm for sale in Bagamoyo


45 acres farm for sale in Bagamoyo 45 acres farm for sale in Bagamoyo 45 acres farm for sale in Bagamoyo 45 acres farm for sale in Bagamoyo 45 acres farm for sale in Bagamoyo

JE UNA MAONO/ NDOTO  ZA   KUMILIKI ARDHI KUBWA  NA KUWA MKULIMA SERIOUS??    PIA PANAFAA KUWEKA VIWANDA, SHULE, HOSPITAL, KANISA AU KUKATA VIWANJA

 • Shamba lenye kubwa wa ekari  45  linauzwa au kukodishwa.
 • Lipo katikati ya barabara ya Mlandizi na Bagamoyo, kijiji cha Miswe, Kilometa 50/60 kutoka Dar Es Salaam.
 • Shamba lina:
  • Nyumba ya kisasa yenye vyumba 3 vya kulala (kimoja ni self contained), sitting room kubwa zipo mbili na moja hutumika kama  TV room kubwa.(Ndani kuna fenicha zote ikiwemo sofa seti mbili, mashine ya kufulia, mashine kubwa ya kukausha nyama n.k.) kuna Sehemu ya kulia chakula 1, Choo cha wageni+bafu 1, jiko kubwa  la kisasa 1, madirisha  yote ni  Aluminium.    
  • Cottages/Apartment room zipo  5  zote self contained ambazo zimepauliwa bado finishing tu.  
  • Mabanda 2 makubwa ya kuku yenye uwezo wa kuweka kuku kuanzia  5,000 au zaidi.       
  • Mashine  kubwa  ya kutengenezea vyakula vya mifugo.
  • Kisima kirefu cha maji yasiyo na chumvi.
  •  Kuna mashine kubwa ya kuchuja maji kutoka ya chumvi kuwa baridi.  
  • Kuna tanki la maji la juu lita 500 na kuna tanki la maji la chini kubwa lenye uwezo wa kutunza lita ELFU 50 na zaidi.
  • Kuna mashine nzuri ya kisasa incubators za kutotolesha vifaranga!!!
  • Kuna mabanda 4  ya kisasa ya  kufugia nguruwe.
  • Kuna Mabanda 2  ya kufugia ng’ombe na mbuzi na tayari kuna ng'ombe  wakubwa 3  wa maziwa ambapo mmoja hutoa lita 15 kwa siku...mbegu ya South Africa na ndama 3 na mbuzi 4 wapo ndani.
  • Kuna ekari 2 za miti aina ya Mikaratusi, ekari 2.5 za miti aina ya mitiki.
  • Kuna bwawa kubwa/lambo la maji lenye samaki aina ya sato, na kambale wengi wamo ndani yake.                
  • Kuna bwawa lingine la pili  ambalo kwa sasa halina samaki.       
  • Kuna eneo kubwa la kulishia mifugo lenye majani ya kutosha.
  • Kuna MAJI  ya DAWASA, Umeme wa TANESCO,       
  • Kuna Generator kubwa 25 KV pamoja na chumba maalum cha mitambo ya umeme.
  • Kuna vifaa vyote vya ufugaji wa kuku.
  • Shamba lina hati ya serikali ya kijiji.
Kuna vitu vingine vingi havijaandikwa hapa ukiwa shambani utaviona. Vyote ni mali ya mnunuzi. Iwapo umeelewa na upo serious, karibu tukupeleke shambani kwaajili ya inspection. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" ili kupata namba zetu. 

Contact UsSend Email

 • Ubungo Terminal Road
 • Ubungo Mawasiliano
 • Ubungo District
 • Dar es Salaam


Share Product