Meela Motors tunakupa RAV4 Kili time kali ya milango minne. Inakuja na CD/TV/DVD player, tinted windows, engine ya cc 2000, automatic gerabox. Njoo uione showroom yetu iliyopo opposite Mlimani City au tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.