Hii gari kule Uchaggani inaitwa "ng'ombe ya maziwa" ... inamaanisha hailali, yaani maana yake ni gari ya kazi, iko busy saa yoyote inakwenda popote. Yaani multipurpose. Inabeba kilo 1000, single cabin ya watu watatu. Manual 5+1 gearbox, 2L (cc 2000) petrol engine. Gari ni MUPYA kutoka Japan, haijatumika TZ. Ukiikosa hasara kwako. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.