Toyota RAV4 old model ya ukweli. Imeingizwa hivi karibuni kutoka Japan. Imejitosheleza kila sehemu. Ina lloy wheels, tinted windows, automatic gearbox, CD/MD player, petrol engine ya cc 2000. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.