• Business Starts Here!

TZS 150M - Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Salasala IPTL


Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Salasala IPTL Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Salasala IPTL Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Salasala IPTL





Nyumba mpya ya kisasa inauzwa Mbezi Salasala IPTL. Ina vyumba vitatu ambapo kimoja ni self contained master bedroom, jiko, dinning na sebule, public toilet. Eneo la uwanja ni mita za mraba 760. Kiwanja kina title deed. Ipo umbali wa takriban mita 700 kutoka lami iendayo IPTL. Imekaaa juu na una enjoy sea breeze kwa uzuri  kabisa. Bei ni TZS 150 Million


Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu. 

Contact Us



Send Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam






Share Product