• Business Starts Here!

TZS 800k - 3 bedroom villa for rent in Kunduchi Bahari


3 bedroom villa for rent in Kunduchi Bahari 3 bedroom villa for rent in Kunduchi Bahari 3 bedroom villa for rent in Kunduchi Bahari 3 bedroom villa for rent in Kunduchi Bahari 3 bedroom villa for rent in Kunduchi Bahari 3 bedroom villa for rent in Kunduchi Bahari

Villa inapangishwa Kunduchi Bahari mtaa wa Furaha. Ina vyumba vitatu, kimoja ni master bedroom - sebule kubwa, garden nzuri, jiko kali lenye makabatim, banda la mbwa, parking ya kutosha magari 6, nyumba ya mfanyakazi. Mtaa ni mkimya wanakaa wakurugenzi wakubwa. Upepo wa bahari unausikia ukiwa ndani. Yaani ni raha tu kuishi humo. Inapangishwa kwa Shilingi Laki nane (8) kwa mwezi. Inaongeleka kidogo ukilipa muda mrefu.


Tafadhali wasiliana nasi kwa kutupigia simu. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Makumbusho Complex
  • Wakatibado Street
  • Makumbusho
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product