• Business Starts Here!

TZS 450k - Apartment inapangishwa Goba, 3 bedroom apartment


Apartment inapangishwa Goba, 3 bedroom apartment Apartment inapangishwa Goba, 3 bedroom apartment

Apartment hizi za kisasa kabisa zinapatikana Goba Maghorofani. Zimebaki units 4 tu. Kila apartment ina bedrooms 3 ambapo moja ni self contained master bedroom kubwa. Ina sebule, jiko, dinning room na shared (public) bathrooms. Bei ni TZS 450,000 kwa mwezi. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" ili kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product