• Business Starts Here!

TZS 3M - Viwanja vya kuuza Dodoma


Viwanja vya kuuza Dodoma Viwanja vya kuuza Dodoma

Viwanja viko maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma (Mlimwa North, Ilazo, Ilazo Extension, Swaswa, Ipagala, Kisasa, Mwangaza, Nzuguni, Mapinduzi, Mkalama, Ntyuka, Image, Uzunguni, Kikuyu, Kinyambwa, Itega, Chidachi, Miganga, Mahungu, Ndachi Nkuhungu.


Matumizi ya viwanja
 • Makazi
 • Biashara
 • Makazi na biashara
 • Hoteli
 • Petrol station
 • viwanda
 • Taasisi
 • Makazi maalumu

Bei za viwanja zinaanzia  Tshs 3,000,000/= kwenda juu, kulingana na ukubwa wa kiwanja, sehemu kilipo na matumizi.
Contact UsSend Email

 • Kuu Street
 • Uhindini
 • Dodoma Mjini District
 • Dodoma


Share Product