Ni nyumba ya vyumba vitatu ikiwemo kimoja master bedroom. Vilevile ina sebule, jiko, dining room na common bathroom. Ipo Mbezi Louis karibu na St. Anne academy nyuma ya stendi mpya ya Ubungo. Ipo kwenye kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa mita za mraba 400 (mia nne). Bei ni TZS 70 Million, maongezi yapo.
Tafadhali wasiliana nasi kwa kutupigia simu au kwa kutuma email. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.