Jumba kubwa la room 12 (pichani) linauzwa. Lipo Mbezi Louis karibu kabisa na stendi mpya ya mabasi inayojengwa na vilevile karibu na shule ya St. Anne academy. Ina vyumba 12 vikubwa. Kiwanja chake kina ukubwa wa mita za mraba 3,600 (60 x 60), kimepimwa na kina mawe. Inafaa sana kwa biashara ya hotel, lodge au bar. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.