Nyumba ya biashara iliyopo Mbezi Luis karibu na St. Anne academy. Ipo barabarani. Eneo limepimwa na mbele kuna frames 4 za biashara na nyuma kuna vyumba viwili vyenye wapangaji. Bei ya awali ni TZS 35 Million. Maongezi yapo.
Karibu tuongee biashara. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.