• Business Starts Here!

TZS 20M - 900 sqm commercial plot for sale in Kibaha, Msumi


900 sqm commercial plot for sale in Kibaha, Msumi 900 sqm commercial plot for sale in Kibaha, Msumi

Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 900. Kimekamata barabara kuu ya Msumi mita chache kuingia Msumi mjini. Eneo limepimwa. Kiwanja kinafaa kwa biashara ya matofali, hardware, frame za maduka n.k. Bei elekezi ni TZS 20 Million. 

Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi. Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product