• Business Starts Here!

TZS 1,000M - 3 acre plot for sale in Malamba Mawili


3 acre plot for sale in Malamba Mawili 3 acre plot for sale in Malamba Mawili

Plot hii ni ekari zipatazo 3.3 ... Plot ina hati miliki safi ya biashara (commercial plot title) very clean. Plot hii ni ideal for all commercial developments. Plot inakamata barabara kuu ya lami toka Morogoro road kupitia Malamba Mawili ukielekea airport. Ipo baada tu ya kituo cha mafuta cha Victoria. Pembeni yake ni soko kubwa za la mazao la East Africa (ujenzi unaendelea). Vilevile kuna stendi kwa opposite na soko hilo. Inafaa kujenga yard, garage kubwa, hotels, bars, lodges, apartments, supermarkets n.k. Bei ni TZS 1 Billion. Tafadhali wasiliana nasi kabla haijauzwa. 

Bonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu.

Contact UsSend Email

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product